← Rudi kwa Habari Zote
SHIMMUTA inaipongeza timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 kwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya AFCON U17.
Ushindi dhidi ya Algeria kwa mikwaju ya penalti baada ya sare ya mabao 3-3 umeonyesha kiwango kikubwa cha vipaji, moyo wa kujituma na dhamira ya vijana wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa.
Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DYu3_8ODHBL/
Endelea Kusoma