Mwanzo Maombi ya Kujiunga

Maombi ya Kujiunga

Jiunge na Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania

50+
Taasisi
1000+
Washiriki
30+
Miaka
UJIUNGE SASA

Jiunge na SHIMMUTA

Taasisi yako inaweza kujiunga na Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania

Usajili wa Taasisi

Maelezo Muhimu

  • Maombi yako yatahakikiwa na utapokea majibu ndani ya siku 7 za kazi
  • Baada ya kuidhinishwa, utaweza kusajili wachezaji wa taasisi yako
  • Taarifa zote zitahifadhiwa kwa usalama na hazitashirikiwa na watu wengine
  • Kwa maswali zaidi, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyoonyeshwa

Usajili wa Mchezaji

Kuelekea kwenye mashindano ya SHIMMUTTA 2025 kila Mchezaji anapaswa kujisajii kupitia fomu Mtandao Hapa chini

Dirisha la Usajili litakuwa wazi mpaka Tarehe 26 Novemba 2025
Ikiwa taasisi yako haijaorodheshwa, lazima ijiunge kwanza.
Kwa wachezaji walioajiriwa serikalini ni lazima kuweka.
Zingatia: Picha yenye vipimo 120-150px, na background ya bluu au nyeupe. Kiwango cha juu: 10MB. Aina: JPG, PNG.
Hakuna picha iliyochaguliwa. Chagua picha ili kuona muhitaji.
⚠️ Angalizo: Hakikisha unajaza taarifa zako kwa usahihi na unachagua taasisi yako kwa umakini. Endapo udanganyifu utabainika, hatua za kisheria zitachukuliwa.

Maelezo Muhimu

  • Maombi yako yatahakikiwa na utapokea majibu ndani ya siku 7 za kazi
  • Baada ya kuidhinishwa, utaweza pokea namba yako ya usajili katika Email yako uliyo tumia wakati wakujisajili
  • Taarifa zote zitahifadhiwa kwa usalama na hazitashirikiwa na watu wengine
  • Kwa maswali zaidi, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyoonyeshwa