← Rudi kwa Habari Zote
SHIMMUTA inampongeza mwanariadha Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili na kuweka rekodi ya Taifa katika Boston Marathon.
Mafanikio yake yanaendelea kuitangaza Tanzania kimataifa na kuhamasisha kizazi kipya cha wanariadha kujituma, kujiamini na kufuata nidhamu ya mazoezi.
Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXaAERnDADq/
Endelea Kusoma