← Rudi kwa Habari Zote
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) baada ya kuwanyoa Wazee wa Makasia (TAWA) katika mchezo wa kuvuta kamba wanaume, limeahidi kuivua ubingwa Shirika la Bandari Tanzania (TPA).
Mchuano wa kuvuta kamba ni miongoni mwa michezo inayovutia hisia kali kwa mashabiki wa SHIMMUTA kutokana na nguvu na mbinu zinazohitajika.
Endelea Kusoma