← Rudi kwa Habari Zote
Mkuu wa Wilaya wa Tanga Mjini Mhe. Japhari Kubecha amesema mtu yeyote atakayegundulika kuwa sio mtumishi wa umma katika mashindano ya SHIMMUTA atachukuliwa hatua kali za kisheria.
Onyo hilo linalenga kuhakikisha mashindano yanabaki kuwa ya wafanyakazi halali wa mashirika ya umma, taasisi na makampuni binafsi pekee.
Endelea Kusoma