SHIMMUTA inaungana na dunia kuadhimisha Siku ya Baba Duniani kwa kutambua mchango wa baba katika familia, jamii na maeneo ya kazi.

Tunawaenzi baba wote kwa upendo, malezi, juhudi na kujitolea kwao katika kujenga familia imara na kizazi chenye maadili, nguvu na matumaini.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DZ2PaB0MApa/