SHIMMUTA inawatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Saba Saba.

Siku hii muhimu inatukumbusha mchango wa biashara, uzalishaji, ubunifu na ushirikiano katika maendeleo ya Taifa. SHIMMUTA inaendelea kuhamasisha afya, umoja na tija kupitia michezo ya wafanyakazi.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/Dae-RrCspLL/