SHIMMUTA inaungana na dunia kuadhimisha Siku ya Mama Duniani.

Tunawashukuru na kuwaenzi mama wote kwa upendo, malezi, hekima na mchango wao mkubwa katika familia, jamii na maendeleo ya Taifa.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DYJeapdDHpk/