Uongozi na wanachama wa SHIMMUTA wanampongeza Bwn. Marcel M. Bituro kwa kupewa dhamana ya kuongoza Shirikisho katika kipindi kijacho.

Tunamtakia utekelezaji mwema wa majukumu yake mapya, huku tukisisitiza umuhimu wa kuendeleza umoja, uwazi na ushirikiano kati ya taasisi wanachama.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXCrMDNjMm3/