SHIMMUTA inawakumbusha wajumbe kuwa zimesalia siku sita kuelekea kikao cha kimkakati kitakachofanyika Njombe.

Kikao hicho kinatarajiwa kuwa nafasi muhimu ya kujadili rasimu ya Katiba, kuainisha maeneo ya maboresho na kuweka msingi bora wa uendeshaji wa Shirikisho.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DZ2dIz_s09T/