SHIMMUTA inaendelea kuhamasisha wajumbe na wadau wake kuelekea kikao maalum kitakachofanyika Njombe.

Kikao hicho ni sehemu ya mchakato wa kuimarisha Katiba ya Shirikisho na kuongeza ushiriki wa wanachama katika kujenga taasisi imara, ya kisasa na yenye uwajibikaji.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DZw7KYdM4RB/