Zimesalia siku saba kabla ya wajumbe wa SHIMMUTA kukutana Njombe kwa kikao maalum cha kujadili masuala ya Katiba na mustakabali wa Shirikisho.

SHIMMUTA inaendelea kusisitiza maandalizi, ushiriki na uwajibikaji ili kikao hicho kiwe na matokeo yenye manufaa kwa wanachama wote.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DZzi1Clsx_k/