← Rudi kwa Habari Zote
SHIMMUTA ina matumaini makubwa ya kuona Shirikisho likipiga hatua zaidi chini ya uongozi mpya uliochaguliwa katika Mkutano Mkuu wa mwaka 2026.
Kipaumbele kikubwa ni kuimarisha michezo ya wafanyakazi, kuongeza ushiriki wa taasisi wanachama na kujenga Shirikisho lenye ufanisi, uwajibikaji na tija kwa wadau wote.
Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXCn8bqjCRc/
Endelea Kusoma