← Rudi kwa Habari Zote
SHIMMUTA inajiandaa kushiriki kikao muhimu kitakachofanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe tarehe 26 Juni 2026.
Lengo kuu la kikao ni kujadili, kuainisha na kufanyia maboresho rasimu ya Katiba ya Shirikisho kwa maslahi ya wanachama na maendeleo ya michezo ya wafanyakazi nchini.
Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DZuRX1Ysaqg/
Endelea Kusoma