← Rudi kwa Habari Zote
SHIMMUTA inawatakia wafanyakazi wote heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Tunatambua juhudi, bidii na mchango wa wafanyakazi katika maendeleo ya Taifa. SHIMMUTA itaendelea kukuza michezo kama njia ya kuimarisha afya, mshikamano na tija mahali pa kazi.
Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXyzM0IjN7A/
Endelea Kusoma