SHIMMUTA inaungana na Watanzania wote kuadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Muungano ni msingi muhimu wa umoja, amani na maendeleo ya Taifa. SHIMMUTA inaendelea kuenzi tunu hizo kwa kukuza michezo inayowaleta pamoja wafanyakazi kutoka taasisi mbalimbali nchini.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXmKsANDJH9/