Mkutano Mkuu wa SHIMMUTA 2026 uliendelea kuwa sehemu ya kuimarisha mahusiano, furaha na mshikamano kati ya wanachama.

Mbali na mijadala na maamuzi rasmi, matukio ya kijamii yalionyesha roho ya familia moja inayobeba utambulisho wa SHIMMUTA.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXG76lbjL-k/