Zimesalia siku tatu kuelekea Kikao Maalum cha SHIMMUTA kitakachojadili na kufanyia maboresho rasimu ya Katiba ya Shirikisho.

Wajumbe wanahimizwa kujiandaa kushiriki kikamilifu, kutoa maoni yenye tija na kuchangia ujenzi wa Katiba imara itakayosaidia kuongoza maendeleo ya SHIMMUTA kwa miaka ijayo.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/reel/DZ-jTwxsBXV/