Mwenyekiti wa SHIMMUTA, Bwn. Marcel Bituro, ameungana na wadau wa mchezo wa netiboli katika mashindano ya Ligi Daraja la Kwanza yanayoendelea jijini Dodoma.

Akiwa katika mashindano hayo, aliwapongeza wadau kwa kuendeleza mchezo wa netiboli na kutoa hamasa kwa wachezaji wanaofanya vizuri. SHIMMUTA inaendelea kuunga mkono jitihada za kukuza vipaji na maendeleo ya michezo nchini.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/reel/DZYaDUQsFGq/