← Rudi kwa Habari Zote
Zimesalia siku tano kabla ya kikao muhimu cha SHIMMUTA kinachotarajiwa kufanyika Njombe.
Wajumbe na wadau wanakumbushwa kujiandaa kwa majadiliano yenye lengo la kuboresha Katiba, kuimarisha utendaji na kujenga Shirikisho lenye dira thabiti.
Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/reel/DZ5ygxys8F4/
Endelea Kusoma