← Rudi kwa Habari Zote
SHIMMUTA inampongeza Laizer kwa kuchaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Shirikisho.
Tunamtakia kazi njema katika kutekeleza majukumu yake na kuchangia katika kuimarisha uongozi, ushirikiano na maendeleo ya SHIMMUTA.
Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXENrudDN-Z/
Endelea Kusoma