SHIMMUTA inawapongeza wajumbe waliochaguliwa kuingia Kamati Tendaji ya Shirikisho.

Uongozi wao ni sehemu muhimu ya kuimarisha utendaji wa SHIMMUTA na kuhakikisha michezo ya wafanyakazi inaendelea kukua kwa mipango bora na usimamizi madhubuti.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXD_5i9DNY_/