← Rudi kwa Habari Zote
SHIMMUTA inawatakia viongozi wapya utekelezaji mwema wa majukumu yao.
Shirikisho linaamini kuwa weledi, bidii na umakini katika uongozi vitachangia mafanikio endelevu na kuimarisha huduma kwa wanachama.
Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXC6D6tjEyv/
Endelea Kusoma