SHIMMUTA inawapongeza viongozi wapya na kuwaombea utekelezaji mwema wa majukumu yao.

Tunatarajia uongozi wenye weledi, umakini na dhamira ya kusukuma mbele maendeleo ya Shirikisho kwa manufaa ya wanachama wote.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXC5AivDMmL/