← Rudi kwa Habari Zote
Wanachama wa SHIMMUTA wameweka imani yao kwa viongozi wapya waliochaguliwa katika Mkutano Mkuu wa mwaka 2026.
Dhamana hiyo ni nafasi ya kuonyesha uwajibikaji, uongozi wa vitendo na uwezo wa kusukuma mbele malengo ya Shirikisho.
Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXCoBFADHHj/
Endelea Kusoma