SHIMMUTA imetangaza matokeo ya viongozi wapya waliochaguliwa na wajumbe tarehe 11 Aprili 2026.

Matokeo hayo yanafungua ukurasa mpya wa uongozi na utekelezaji wa majukumu ya Shirikisho kwa kipindi kijacho.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DXAWGogjNrb/