Uchaguzi Mkuu wa SHIMMUTA 2026 uliambatana na nyuso za matumaini, furaha na mshikamano kutoka kwa wanachama.

Matukio hayo yanaonyesha nguvu ya pamoja ya familia ya SHIMMUTA na dhamira ya kuendelea kujenga Shirikisho lenye tija kwa wanachama wake.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DW_DE6rDNST/