Uongozi wa SHIMMUTA unaungana na Watanzania kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Tunathamini uongozi wake katika kuimarisha mshikamano, maendeleo, amani na ustawi wa Taifa. SHIMMUTA inaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika kukuza michezo, afya na umoja mahali pa kazi.

Mungu ambariki Mhe. Rais, na aendelee kumpa afya, hekima na nguvu katika kulitumikia Taifa.