← Rudi kwa Habari Zote
SHIMMUTA inawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla sikukuu njema ya Eid.
Tunawatakia furaha, amani na mshikamano katika kipindi hiki cha shukrani na ukarimu. Kama Shirikisho, tunaendelea kuamini kuwa michezo ni daraja muhimu la kuimarisha umoja, afya na mahusiano mema katika jamii.
Eid Mubarak kwa wanachama, wadau na familia zote za SHIMMUTA.
Endelea Kusoma