← Rudi kwa Habari Zote
SHIMMUTA inawatakia Wakristo wote na Watanzania kwa ujumla heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Tunawatakia sikukuu yenye furaha, amani na upendo katika familia na jamii. SHIMMUTA itaendelea kuhamasisha michezo kama chombo cha kuimarisha afya, mshikamano na furaha mahali pa kazi na katika jamii.
Heri ya Pasaka.
Endelea Kusoma