← Rudi kwa Habari Zote
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amezindua mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA) jijini Tanga na kuyataka mashirika kutenga bajeti mapema kwa ajili ya ushiriki wao.
Dkt. Biteko alisisitiza umuhimu wa michezo katika kujenga afya, umoja na ushirikiano miongoni mwa wafanyakazi wa mashirika mbalimbali nchini.
Endelea Kusoma