← Rudi kwa Habari Zote
Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) kwa kushirikiana na wanachama wake wamerudisha fadhila kwa jamii kwa kutoa msaada wenye thamani ya zaidi ya milioni 12 kwa watu wenye uhitaji jijini Tanga.
Msaada huo ni sehemu ya jukumu la SHIMMUTA la kuchangia maendeleo ya jamii sambamba na kukuza michezo nchini.
Endelea Kusoma