Mwenyekiti wa SHIMMUTA Bi. Roselyne Massam akitoa taarifa fupi kuhusu hali na mwenendo wa michezo inayofanyika jijini Morogoro.

Katika video hii, Mwenyekiti anaeleza mafanikio ya mashindano na kuwashukuru washiriki wote kwa ari na nidhamu.