← Rudi kwa Habari Zote
Smart Sports kama Mdhamini Mkuu wa mashindano ya SHIMMUTA 2025 ikikabidhi vifaa vya michezo kwa Mwenyekiti Bi. Roselyne Massam.
Ukabidhi huo unaonyesha ushirikiano imara kati ya SHIMMUTA na wadhamini wake katika kuendeleza michezo ya wafanyakazi nchini.
Endelea Kusoma