SHIMMUTA ilishiriki mapokezi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda, pamoja na nguli wa soka duniani Rio Ferdinand jijini Arusha.

Ziara hiyo ilikuwa sehemu ya hamasa kuelekea AFCON 2027 na ilionyesha hatua zinazochukuliwa na Tanzania katika kuimarisha miundombinu ya michezo, kukuza vipaji na kuitangaza nchi kimataifa.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/reel/DYorAF0Mze9/