Baadhi ya viongozi wapya wa SHIMMUTA waliapishwa rasmi baada ya kuchaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2026 uliofanyika jijini Arusha.

Kiapo hicho kinaashiria mwanzo wa safari mpya ya uongozi wenye uwajibikaji, uadilifu na dhamira ya kuwatumikia wanachama na kuendeleza michezo nchini.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/reel/DXAbHB9DM7i/