Mwenyekiti mpya wa SHIMMUTA, Bwn. Marcel M. Bituro, alizungumza baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2026 jijini Arusha.

Aliwashukuru wanachama kwa imani waliompa na kuahidi kuongoza kwa uwajibikaji, umoja na maono ya kuendeleza michezo ya wafanyakazi nchini.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/reel/DXAZcchjIZm/