Wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa SHIMMUTA 2026 walipata nafasi ya kueleza sera na dira zao mbele ya wajumbe jijini Arusha.

Hatua hiyo iliwapa wajumbe nafasi ya kusikiliza vipaumbele vya wagombea na kufanya maamuzi kwa kuzingatia uwezo, maono na mipango ya kuendeleza Shirikisho.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/reel/DW_taWUDK66/