Baadhi ya wagombea waliwasilisha sera, mipango na dira zao kwa wajumbe wa Uchaguzi Mkuu wa SHIMMUTA 2026.

Mjadala huo uliweka msingi wa uchaguzi wenye uwazi na uliolenga kupata viongozi wenye uwezo wa kuendeleza michezo katika taasisi na makampuni mbalimbali.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/reel/DW_rEhcjMs0/