SHIMMUTA Familia Moja ni zaidi ya kauli mbiu; ni falsafa ya umoja, mshikamano na ushirikiano miongoni mwa wanachama wote.

Kupitia falsafa hii, SHIMMUTA inaendelea kujenga mazingira ya kushirikiana katika michezo, uongozi na huduma kwa wanachama.

Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/reel/DW_nYfnjNCl/