HABARI &
PICHA

Matukio, habari za michezo, na kumbukumbu za picha kutoka SHIMMUTA

📰 Habari Zote ⚽ Michezo 📣 Matangazo 🎥 Video

MAKALA YOTE

Michezo
MichezoMei 24, 2026

SHIMMUTA Yaipongeza Serengeti Boys Kufuzu Nusu Fainali AFCON U17

SHIMMUTA inaipongeza timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 kwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya…

Michezo
MichezoMei 22, 2026

SHIMMUTA Yawakilishwa Katika Mapokezi ya Rio Ferdinand

Mjumbe wa Kamati ya Mawasiliano na Masoko ya SHIMMUTA, Bwn. Samwel Sumwa, aliiwakilisha SHIMMUTA katika mapoke…

Michezo
MichezoMei 19, 2026

Tanzania Yapangwa Kundi L Kuelekea AFCON 2027

SHIMMUTA imepokea kwa hamasa taarifa ya droo ya kufuzu AFCON 2027, ambapo Tanzania imepangwa Kundi L pamoja na…

Michezo
MichezoMei 17, 2026

Hongera Serengeti Boys Kufuzu Kombe la Dunia U17

SHIMMUTA inaipongeza Serengeti Boys kwa kufuzu Kombe la Dunia la FIFA U17 mwaka 2026. Mafanikio hayo ni alama…

Michezo
MichezoMei 17, 2026

Arusha Yajiandaa kwa AFCON 2027

SHIMMUTA inakaribisha hatua za maandalizi ya AFCON 2027 jijini Arusha, ikiwemo hamasa iliyochochewa na ujio wa…

Michezo
MichezoMei 10, 2026

Hongera Tanzanite Queens Kufuzu Kombe la Dunia

SHIMMUTA inatoa pongezi za dhati kwa timu ya mpira wa miguu ya wanawake, Tanzanite Queens, kwa kufuzu Kombe la…

Michezo
MichezoMei 9, 2026

SHIMMUTA Kushiriki Viwango Marathon

SHIMMUTA imetangaza kushiriki Viwango Marathon itakayofanyika katika viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam,…

Michezo
MichezoMei 9, 2026

SHIMMUTA Iko Tayari kwa AFCON 2027

SHIMMUTA inaunga mkono maandalizi ya Tanzania kuelekea AFCON 2027. Kama wadau wa michezo, SHIMMUTA inaendelea…

Michezo
MichezoAprili 21, 2026

Pongezi kwa Alphonce Simbu

SHIMMUTA inampongeza mwanariadha Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili na kuweka rekodi ya Taifa katika Bo…