MAKALA YOTE
Eid Mubarak Kutoka SHIMMUTA
SHIMMUTA inawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla Eid Mubarak yenye furaha na amani.
SHIMMUTA Yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani
SHIMMUTA inatambua mchango wa wanawake katika michezo, uongozi, kazi na maendeleo ya Taifa.
SHIMMUTA Yamtakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
SHIMMUTA inamtakia heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Ha…
Heri ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
SHIMMUTA inawatakia wananchi wa Zanzibar na Watanzania wote heri ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar…
Wawakilishi wa Makampuni na Mashirika Yaliyodhamini Wakipokea Zawadi
Wadhamini wa michezo ya SHIMMUTA wamekabidhiwa zawadi za shukrani kwa mchango wao.
Droo ya Michezo ya SHIMMUTA Kufanyika Novemba 05 Jijini Dar es Salaam
Droo ya michezo ya SHIMMUTA itafanyika tarehe 05 Novemba katika UDSM, Dar es Salaam.
Ukigundulika Kuwa Sio Mtumishi wa Umma Utachukuliwa Hatua Kali za Kisheria ? Mhe. Kubecha
Mhe. Kubecha ameonya kuwa asiye mtumishi wa umma akigundulika kwenye SHIMMUTA atachukuliwa hatua za kisheria.