MAKALA YOTE
Kumbukizi ya Hayati Abeid Amani Karume
SHIMMUTA inaungana na Watanzania katika kumbukizi ya Hayati Abeid Amani Karume.
Heri ya Sikukuu ya Pasaka
SHIMMUTA inawatakia Wakristo wote na Watanzania kwa ujumla heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Heri ya Ijumaa Kuu
SHIMMUTA inawatakia Wakristo wote na Watanzania kwa ujumla Ijumaa Kuu yenye amani na tafakari.
Eid Mubarak Kutoka SHIMMUTA
SHIMMUTA inawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla Eid Mubarak yenye furaha na amani.
SHIMMUTA Yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani
SHIMMUTA inatambua mchango wa wanawake katika michezo, uongozi, kazi na maendeleo ya Taifa.
SHIMMUTA Yamtakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
SHIMMUTA inamtakia heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Ha…
Heri ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
SHIMMUTA inawatakia wananchi wa Zanzibar na Watanzania wote heri ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar…
Sherehe ya Kufunga Michezo ya SHIMMUTA 2025 Jijini Morogoro
Michezo ya SHIMMUTA 2025 imefungwa kwa sherehe kubwa jijini Morogoro. Washindi walikabidhiwa zawadi na Mkuu wa…
Wawakilishi wa Makampuni na Mashirika Yaliyodhamini Wakipokea Zawadi
Wadhamini wa michezo ya SHIMMUTA wamekabidhiwa zawadi za shukrani kwa mchango wao.