MAKALA YOTE
Washindi wa Michezo Mbalimbali Wakipokea Zawadi
Washindi wa michezo mbalimbali wamekabidhiwa vikombe na medali na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
Smart Sports Yakabidhi Vifaa vya Michezo SHIMMUTA 2025
Smart Sports, Mdhamini Mkuu wa SHIMMUTA 2025, imekabidhi vifaa vya michezo kwa uongozi wa SHIMMUTA.
Mwenyekiti SHIMMUTA Bi. Roselyne Massam Akizungumza
Mwenyekiti wa SHIMMUTA Bi. Roselyne Massam akizungumzia mwenendo wa michezo jijini Morogoro.
TANAPA na Mzinga Zang'ara Riadha SHIMMUTA 2025 Morogoro
TANAPA na Mzinga wamechuana vikali kwenye fainali za riadha za SHIMMUTA 2025 katika Uwanja wa Jamhuri, Morogor…
TBS Yaizima TAWA Kamba Wanaume, Yapania Kuivua Ubingwa TPA
TBS imeinyoa TAWA kwenye kuvuta kamba wanaume na kuahidi kuivua ubingwa TPA.
Mwenyekiti wa SHIMMUTA Azungumzia Maandalizi na Mwenendo wa Michezo
Mwenyekiti wa SHIMMUTA amezungumzia maandalizi, ushiriki na mwenendo wa michezo ya SHIMMUTA.
UDOM Yairudisha UDSM Darasani ? Mpira wa Pete SHIMMUTA 2025
UDOM imeichapa UDSM 48-46 katika hatua ya 16 bora ya Mpira wa Pete, mchezo uliosisimua mashabiki.
Droo ya Michezo ya SHIMMUTA Kufanyika Novemba 05 Jijini Dar es Salaam
Droo ya michezo ya SHIMMUTA itafanyika tarehe 05 Novemba katika UDSM, Dar es Salaam.
SHIMMUTA Yarudisha Fadhila kwa Jamii kwa Kutoa Msaada kwa Wenye Uhitaji
SHIMMUTA imetoa msaada wa zaidi ya milioni 12 kwa watu wenye uhitaji jijini Tanga.